Announcements: 32nd Sunday in Ordinary Time, Year A
1. We announce diaconate ordination of Bro. Peter Kanyoni Ndung’u son of the Late George Mburu and Jacinta Wairimu from the Archdiocese of Nairobi. Anyone with any objection should inform the parish priest. This is the 2nd notice.
- Today is our Tithe (10%) contribution day for the month of October. Let us be generous.
- Youth Serving Christ will have Mass today at the Parish Main hall at 30am.
- PMC AND MYM will have weekly meetings every Friday and Saturday of November from 2.00pm to 5.00pm. During these meetings, they will undertake various activities like games, sports, character building, book drive, chrismas carols practice and preparation for advent. There will also be a workshop for teen girls. All children 13 -17yrs are invited.
- Church Group meetings today are as follows:-
- Self-Help Group – AGM Meeting – Room no. 5 – after 2nd Mass
- Augustine – room no. 4 – after 2nd Mass
- Cecilia – Shrine of the Apostles – 1.30pm
- Michael – Church – 1.30pm
- Padre Pio – After the choir practice
- John the Evangelist – Marian Grotto – 2.00pm
- Monicah – Lilian Wambui – 3.00pm
- Jude Thaddeus – Jane Kiminda – 3.00pm
- Mary – Mr & Mrs Oloo – 3.00pm
- St Francis – Church – 3.00pm
- CWA Olive group – Joyce Kuyioni, Wanugu road – 4.00pm
- Weekly Masses this week are as follows: –
- Spiritan Prayer Group – Tuesday – St. John – 3.00pm
- Monicah – Saturday – Sheilah Musilibi – 3.00pm
- All children and teens will have Mass next Sunday at 00am and at 11.30am in the parish main hall.
- We shall have PPC General meeting coming Sunday 15th November in the parish main hall after the 2nd All leaders from all small Christian communities, church groups and all outstations are encouraged to attend.
- We shall have adoration of our Lord Jesus Christ in the Blessed Sacrament next Sunday at 30pm here at the parish. All are welcome we adore Christ together.
- John Widows, Upendo Choir and CMA will have their meetings next Sunday in their respective places.
- There will be a parish recollection to be held at the parish on Saturday 21st November starting at 9.00am. All parishioners are encouraged to attend.
- Expansion of the parking into the neighbouring Spiritan grounds is a previously envisaged project. The PPC would like to explore other forms of semi-permanent development for the grounds, alongside the earlier parking proposed. These could include a parking-cum-events garden or other uses. We therefore, invite professionals, contractors and other qualified persons to develop and submit project proposals by close of business on 1st December 2026. The most viable, cost-effective and professional proposal will be considered for presentation and possible adoption. We also request parishioners to share their suggestions on the project. Please submit all proposals and suggestions to the parish office.
- The Archdiocese of Nairobi in collaboration with the family life, Couples for Christ and marriage encounter groups has organized for a Couples dinner scheduled for Friday 27th November at Allamano Centre, Consolata Shrine, Westlands. The evening will begin with Holy Mass at 6.30pm followed by dinner and a special programme for couples. Couples are encouraged to register and attend. For more information, please visit the noticeboard outside the church.
- John Promic group is a group for empowering all people and is managed by the Caritas Micro-Finance Bank under the Archdiocese of Nairobi. They usually meet every 2nd Monday of the month in the parish main hall. They are inviting parishioner who might be willing to join them to attend their meeting tomorrow at 9.00am.
- We thank those who animated Mass today. God bless you abundantly. Coming Sunday Mass animation will be as follows: –
- 7:00 am – Felix Obonsi & Bokea families
- 9:00 am – CMA group
- 11:30 am – Teresa of Calcutta
- 00 pm – Carachollin Community
PAROKIA YA MT. YOHANNE MUINJILISTI
MATANGAZO – NOVEMBA 8, 2026
JUMAPILI YA THELATHINI NA MBILI – MWAKA A
- Tunatangaza Upadrisho wa Ushemasi wa Ndugu Peter Kanyoni Ndung’u, mwana wa marehemu George Mburu na Jacinta Wairimu, kutoka Jimbo Kuu la Nairobi. Yeyote aliye na pingamizi anaombwa kumjulisha Baba paroko. Hili ni notisi la pili.
- Leo ni siku yetu ya kutoa fungu la kumi (10%) ya mwezi wa Oktoba. Tafadhali tuwe wakarimu.
- Kikundi cha Vijana wa Youth Serving Christ watakuwa na Misa leo kwenye ukumbi mkuu wa Parokia saa tano unusu
- Kikundi cha PMC na MYM watakuwa na mikutano kila Ijumaa na Jumamosi katika mwezi huu wa Novemba, kuanzia saa nane mchana hadi saa kumi na moja jioni. Katika mikutano hii, watafanya shughuli mbalimbali zikiwemo michezo, kujenga tabia njema, mazoezi ya nyimbo za Krismasi na maandalizi ya Majilio. Pia kutakuwa na warsha maalumu kwa wasichana. Watoto wote wenye umri wa miaka 13 hadi 17 wanaalikwa kushiriki.
- Mikutano ya vikundi vya Kanisa leo ni kama ifuatavyo:
- Kikundi cha Self-Help – Mkutano wa Mwaka (AGM) – Chumba Na. 5. -11.00am
- Jumuiya ya Mt. Cecilia – Shrine of the Apostles – saa saba unusu mchana.
- Jumuiya ya Mt. Agostino – Chumba namba 4 – baada ya Misa hii
- Jumuiya ya Mt. Mikaeli – Gazebo A – saa saba unusu mchana.
- Jumuiya ya Mt. Padre Pio – Baada ya mazoezi ya kwaya.
- Jumuiya ya Mt. Yohane Mwinjili – Marian Grotto – saa nane mchana.
- Jumuiya ya Mt. Monika – Nyumbani mwa Lilian Wambui – saa tisa alasiri.
- Jumuiya ya Yuda Thadei – Nyumbani mwa Jane Kiminda – saa tisa alasiri.
- Jumuiya ya Maria – Nyumbani mwa Bw. na Bi. Oloo – saa tisa alasiri.
- Jumuiya ya Mt. Fransisko – ukumbi wa parokia – saa tisa alasiri.
- Kikundi cha CWA Olive –Joyce Kuyioni, barabara ya Wanugu– saa kumi jioni
- Misa za katikati ya wiki ni kama zifuatavyo:
- Kikundi cha maombi cha Spiritan – Jumanne – adoration chapel – saa tisa alasiri.
- Jumuiya ya Mt. Monika – Jumamosi –Sheilah Musilibi – saa tisa alasiri.
- Watoto na vijana wote watakuwa na Misa Jumapili ijayo saa tatu asubuhi na saa tano unusu asubuhi katika ukumbi mkuu wa Parokia.
- Tutakuwa na mkutano wa PPC General Jumapili ijayo, tarehe 15 Novemba, katika ukumbi mkuu wa Parokia baada ya Misa ya pili. Viongozi wote kutoka Jumuiya zote, vikundi vya Kanisa na vigango vyote wanahimizwa kuhudhuria.
- Tutakuwa na kuabudu bwana wetu yesu kristo katika sakramenti takatifu ya ekaristi Jumapili ijayo saa tisa unusu alasiri hapa Parokiani. Wote mnakaribishwa tuungane pamoja kumwabudu Kristo.
- Kikundi cha Wajane, Upendo kwaya na wanaume wa CMA watakuwa na mikutano yao Jumapili ijayo katika maeneo yao husika.
- Kutakuwa na siku ya tafakari ya kiroho ya Parokia (Parish Recollection) hapa Parokiani Jumamosi ya tarehe 21 Novemba, kuanzia saa tatu asubuhi. Wakristu wote wanahimizwa kuhudhuria.
- Upanuzi wa eneo la maegesho ya magari katika ardhi ya jirani inayomilikiwa na shirika la Spiritan ni mradi uliokuwa umepangwa hapo awali. Hata hivyo, Halmashauri ya Parokia (PPC) ingipenda kuchunguza njia nyingine za kuendeleza eneo hilo kwa miradi ya kudumu kwa kiasi, sambamba na pendekezo la awali la maegesho. Miradi hiyo inaweza kujumuisha eneo la maegesho ya magari pamoja na bustani ya kufanyia shughuli mbalimbali au matumizi mengine yanayofaa. Kwa hivyo, tunawaalika wataalamu, wakandarasi na watu wengine wenye sifa zinazohitajika kuandaa na kuwasilisha mapendekezo ya miradi hiyo kabla ya tarehe mosi Desemba 2026. Pendekezo litakaloonekana kuwa na manufaa zaidi, gharama nafuu na lililoandaliwa kitaalamu litazingatiwa ili liwasilishwe kwa ajili ya kupitishwa na kutekelezwa. Pia tunawaomba waumini wa Parokia kutoa maoni na mapendekezo yao kuhusu mradi huu. Tafadhali wasilisheni mapendekezo na maoni yenu yote katika ofisi ya Parokia.
- Jimbo Kuu la Nairobi, kwa kushirikiana na kikundi cha Family Life, Couples for Christ na Marriage Encounter, wameandaa chakula cha jioni maalumu kwa wanandoa, kitakachofanyika Ijumaa, tarehe 27 Novemba, katika Allamano Centre, Consolata Shrine, Westlands. Wataanza sherehe yao kwa Misa Takatifu saa kumi na mbili unusu jioni, ikifuatiwa na chakula cha jioni pamoja na programu maalumu kwa wanandoa. Wanandoa wanahimizwa kujiandikisha na kuhudhuria. Kwa maelezo zaidi, tafadhali tembeleeni ubao wa matangazo nje ya Kanisa.
- Kikundi cha St. John Promic ni kikundi kinacholenga kuwawezesha watu kiuchumi na kinasimamiwa na Benki ya Caritas Micro-Finance chini ya Jimbo Kuu la Nairobi. Kikundi hiki hukutana kila Jumatatu ya pili ya mwezi katika ukumbi mkuu wa Parokia. Wanawaalika wakristu wote ambao wangependa kujiunga nao kuhudhuria mkutano wao kesho saa tatu
- Tunawashukuru wote waliohudumu Misa ya leo. Mungu awabariki sana. Watakaohudumu Misa Jumapili ijayo ni wafuatao:-
- Saa 7:00 asubuhi – Familia ya Felix Obonsi na ya Bokea
- Saa 9:00 asubuhi – Kikundi cha CMA
- Saa 11:30 asubuhi – Jumuiya ya Mt. Teresa wa Calcutta
- Saa 5:00 jioni – Shirika la Carachollin
0 Comments